top of page

Tunatoa Sadaka

Ee Mungu Baba tunatoa sadaka uibariki uipokee x 2. (Ni sadaka ya kweli ya mwanao mpenzi uliye pendezwa naye x 2)

  1. Mkate wetu tunaleta kwako, ni mazao ya mashamba yetu sisi, twakuomba Baba upokee.

  2. Divai yetu tunaleta kwako, ni mazao ya mashamba yetu sisi, twakuomba…..

  3. Na fedha zetu tunaleta kwako, ni juhudi ya mikono yetu sisi, twakuomba Baba uzipokee.

  4. Na sala zetu tunaleta kwako, shida zetu twazitoa mbele yako, ….. uzipokee.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page