top of page

Tunakusalimu

Ewe Mama Maria, Mama yetu Mwema Mama wa Mungu. Sisi wanao leo, Tunakusalimu, salamu Mama


Mama yetu mwema, Mama yetu Maria Sisi tunakupenda, tunakupenda sana.


Mama yetu mpenzi, sikia ombi letu Katika shida zetu, kwa Mwanao tuombee


Mama mbarikiwa, Mama safi wa moyo Mama mwenye huruma, uwe nasi daima

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page