top of page

Tunakimbilia Ulinzi Wako


Tunakimbilia - ulinzi wako, Mzazi Mtakatifu wa Mungu, Usitunyime tukiomba katika shida zetu } x2 (Utuopoe (siku zote) kila tuingiapo hatarini, Ewe Bikira mtukufu mwenye Baraka} x2

  1. Mama wa Mungu, ewe Bikira Maria, Utuombee kwa mwanao Yesu

  2. Mama wa Mungu, sisi twakukimbilia, Usitunyime kila tuombapo

  3. Mama wa Mungu, Mama usiye na doa, Utuombee kwa mwanao Yesu

16 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page