top of page

Tumwimbie Mwana wa Mungu

Tumwimbie, tumwimbie, Mwana wa Mungu x2.

  1. Mwana wa Mungu amefufuka, leo mapema amefufuka.

  2. Bwana wa mbingu amefufuka, Mfalme wa mbingu amefufuka.

  3. Yesu Masiha amefufuka, tukamwabudu amefufuka.

  4. Mkombozi wetu amefufuka, tukasujudu amefufuka

  5. Nyoyoni mwetu amefufuka, na tumpokee amefufuka.

  6. Kwa watu wote amefufuka, mshindi wa dhambi amefufuka.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page