top of page

Tumwimbie Maria

Tumwimbie, Maria, nyimbo zetu tumshangilie x2

1. Kwa utiifu alikubali, kuibeba mimba ya Mungu ndipo nasi tuweze hata, kuuona ufalme wa Mungu.

2. Ya dunia yote kaacha, kuifuata amri ya Mungu amzae Yesu Massiah, Mkombozi wawanadamu.

3. Ya asili dhambi kapingwa, hata doa ya dhambi hana kwa ukamilifu wake, twapokea neema tele

4. Tunapochunwa na shetani, macho yetu yanamtafuta kimbilio letu mwanawe, nani kama Mama Maria

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page