top of page

Tumwimbie Bwana Wetu

Tumwimbie Bwana wetu kwa shangwe (Hivi leo) kafufuka mkombozi Masiya wetu (Jamani) x 2

Hae! Hae! hee Hae! Hae! Wote:hee

  1. Mwokozi wetu kafufuka

  2. Karibuni hayupo tena

  3. Na sasa Bwana yuko hai

  4. Kweli kweli amefufuka

  5. Mtawala mbinguni na duniani

  6. Shetani kweli ameshindwa

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page