top of page

Tumwangalie Mkombozi

Tumwangalie Mkombozi, akitundikwa msabani, tutataambua upenzi, aliotupenda moyoni.


Twimbe twimbe jamani: Salaam Yesu msalabani x2


Msalabani sio mtiwe, tunaotaka kuheshimu, Ila ni Yesu mwernyewe, kwa binadamu mwaga damu,


Tuusifu sana mti huu, Yesu akauchagulia: kwa mapendo yake makuu deni zetu kuzilipia.


Kwa stahilize msalaba, twapata msamaha wa dhambi, ni Yesu mwenye kumwomba Babaye Mungu wetu Rabi


Msalaba kwa zake nguvu,uwingu watufungulia, yakoma enzi ya mwovu, na utumwa waondolewa,

2 views0 comments

Комментарии

Оценка: 0 из 5 звезд.
Еще нет оценок

Добавить рейтинг
bottom of page