top of page

Tumsifu Maria

1. Tumsifu Maria enyi wanaye, tutoe salamu, tumshangilie

Ave, Ave, Ave, Maria x2

2. Katika uwingu ni mfalme mkuu, nyuma yake Mungu wa kwanza juu

3. Nyota ya bahari, mlango wa mbingu, mwondoa hatari, Mama wa Mungu

4. Maria Bikira, ndiye mteule, ndiye mwana bora tangu milele.

5. Ameitwa mfalme wa Malaika, mfalme wa mitume, mkanyaga nyoka

6. Hatuna mwombezi atuombeaye, kwa Mungu Mwenyezi kuliko yeye.

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page