top of page

Tumshukuru Bwana

Tumshukuru Bwana, Mungu wetu, kwa maana yeye ndiye mwema.

  1. Katika mashaka nimekaa / ameniokoa Bwana.

  2. Bwana ni msaidizi wangu / wala siogopi tena

  3. Nimemkimbilia Bwana / yeye ndiye mwaminifu.

  4. Mkono wake wa kuume / umeniinua kweli.

  5. Hayo yametendwa na Bwana / nayo ni miujiza kwetu.

  6. Hii ndiyo kweli sikukuu / aliyofanya Bwana.

  7. Wewe ndiwe Mungu wangu/ nami nitakushukuru.

  8. Ninaikutuza, ee Mungu / milele huruma yako.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page