top of page

Tumshangilie

1. Amkeni mliolala myasikie haya,namlioko mbali sasa sogeeni karibu mzisikie habari hizi zakushangaza Bwana Yesu, tumshangilie Mwokozi wetu tumshangilie x2 tumshangilie milele Yesu amefufuka(leo) tumshangilie,Mwokozi kafufuka tumshangilie x2 tumshangilie milele

2. Asubuhi na mapema Mariamu na wenzake walikwenda kaburini kumuona Yesu, wakampake mafuta mwili wake Bwana Yesu uliohifadhiwa ndani ya kaburi, Wakalikuta lile jiwe limevingirishwa pembeni ya kaburi lile Yesu ni mzima


3. Kwanini mnamtafuta aliye hai huyo mnayemtafuta hapa hayupo yakumbukeni maneno aliyosema nanyi

0 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page