top of page

Tumepewa Mtoto

Tumepewa Mtoto Tumepewa mtoto mwanaume x2 Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake x2 Naye ataitwa jina lake Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu Baba wa milele, Mfalme wa amani x2


Maombezi na enzi yake na amani Hayatakuwa na mwisho kamwe


Katika kiti cha enzi cha Daudi Na ufalme wake milele


Kuthibitisha na kutegemeza Kwa hukumu na haki


Tangu sasa na hata milele wingu wa Bwana wa Majeshi, ndio utakaotenda hayo

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page