top of page

Tumepata Mwana

Tumepata Mwana (Ee wote) tumepata mtoto (Ee wote) sote twimbe aleluya aleluya ahh (wote) x2

  1. Amezaliwa Mwokozi Yesu, Mwana wake Mungu Baba Mkombozi ee,(wote)

  2. Amezaliwa, huko Bethlehemu amekuja duniani kutuokoa (wote)

  3. Na malaika huko mbinguni, wanaimba utukufu utukuju juu (wote)

  4. Na mamajusi wanafwata nyota, wanaleta dhahabu uvumba manemane (wote)

  5. Tumepata Mwana, tumepata mtoto sote twimbe aleluya aleluya aah (wote)

1 view0 comments

Commenti

Valutazione 0 stelle su 5.
Non ci sono ancora valutazioni

Aggiungi una valutazione
bottom of page