top of page

Tumejitolea

Waenezaji wa injili tumejitolea (kwa kweli) kutangaza neno lake Bwana kila pande tuna(poenda) , kwa nguvu na vipaji vyetu kuimba na pia kucheza daima tunapojitahidi neno lipate kusambaa, (Na wafungwa) wakafunguliwe (na viwete) pia watembee (Na vipofu) nao wakaone ukuu wake Mungu Baba (na viziwi) pia wasikie (na vilema) nao wakapone (nao watu) wote wake Mungu wasiangamizwe na shetani.


  1. Yesu katuambia twende tuhubiri neno, (neno latumulika pia nalo latuongoza) x2

  2. 'Jumbe wa Mungu Baba toka kwenye Biblia, (kwamba tuutangaze kwao wasiomfahamu) x2

  3. Roho wa Mungu Baba ametutuma wanawe, (neno tulitangaze pande zote za ulimwengu) x2

  4. Yesu utuongoze tunapotangaza neno, (nguvu utujalie enda nasi tunakusihi) x2

3 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page