top of page

Tumeitwa Kushiriki

Tumeitwa kushiriki kwa karamu (ya Bwana) kupokea mwili na damu ya Yesu x2

  1. Mwili na damu ya Yesu hutajirisha maisha yetu na kutupa uzima wa milele.

  2. Sisi sote tujongee altare ya Bwana tuwe pamoja naye kushiriki maisha yake.

  3. Njoo Bwana kwangu usikawie njoo Bwana njoo, ukae katika moyo wangu.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page