top of page

Tumeingia

(Tumeingia) x2

Nyumbani mwa Bwana-aa

Tushangilie tumwabudu x2


1. Kwa nyoyo safi nazo tumwende ee - Tushangilie tumwabudu

2. Ni shangwe kubwa na sifa kwa Bwana aa - Tushangilie tumwabudu

3. Imbeni nyimbo nazo kwa furaha-aa - Tushangilie tumwabudu

4. Ni Bwana Yesu ametualika-aa - Tushangilie tumwabudu

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page