top of page

Tumaini Letu ni Kwa Bwana

Tumaini letu ni kwa Bwana,Kwa maana ana uwezo wa milele x2

1. Tutamsifu Bwana siku zote-Kwa maana ana uwezo wa milele.

2. Yeye ndiye mwanzo wa uzima-

3. Yeye ndiye aliyetuumba-

4. Vitu vyote vimeumbwa naye-

5. Yeye ndiye kiongozi wetu-

6. Tumwabudu, tumsifu daima-

7. Sifa na uwezo viwe kwake-

8. Nguvu na ulinzi ni kwa Bwana-

9. Uzima na wokovu ni kwake-

10. Atukuzwe katika Utatu-

11. Kama mwanzo, sasa na daima.

26 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page