top of page

Tuliiona Nyota

Tuliiona nyota upande wa mashariki (nasi) tumekuja kumsujudia Bwana x2

  1. Yesu alipozaliwa kule Bethlehemu mamajusi walifika na kusema.

  2. Nyota ya ajabu hii nyota ya wokovu mamajusi wafurahi na kusema.

  3. Yupo wapi yule Mfalme aliyezaliwa mamajusi walifika na kusema.

  4. Na zawadi walileta kumtolea mtoto wakimsujudia na kusema.

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page