top of page

Tule Tunywe

Tule tunywe ni mwili wake (kweli)

  1. Karibuni nyote mezani, mwake tunywe. (tunywe, tule chakula hiki:ni chakula bora kwa uchaji, tule, tule na tunywe kinywaji hiki) x2.

  2. Ni kinywaji safi kwa uchaji tunywe… ni chakula bora kwa uchaji tule.

  3. Na kikombe hicho ni damu yake tunywe… na mkate huo ni mwili wake tule.

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page