top of page

Tujongee Mezani mwa Bwana

(Tujongee) mezani mwa Bwana leo ametualika, kwa chakula cha uzima ndugu dada twende tupate uzima.

  1. Alhamisi kuu alichukua mkate kaumega kawapa wafuasi wake, nanyi fanyeni hivyo kwa ukumbusho wangu.

  2. Pia alichukua kikombe cha divai kabariki kawapa wafuasi wake, damu iliyotolewa kwa ajili yenu.

  3. Ekaristi kuu ni chakula cha mbinguni aulaye na kuinywa damu yangu mimi, milele milele ataishi nami kama Baba.

7 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page