top of page

Tuingie Nyumbani mwa Bwana

Tuingie nyumbani mwa Bwana kwa furaha tumwabudu Bwana x2

Tuingie-tuingie, tuingie-tuingie, tuingie tuingie kwa Bwana x2

Bwana Yesu atualika kwa furaha tumwabudu Bwana.

Twende kwake siku ya leo


Wa baba wote mwakaribishwa -

kwa furaha na

Wa mama wote mwakaribishwa -


Wazee wote mwakaribishwa -

Vijana wote mwakaribishwa -


Watoto wote mwakaribishwa -

Mcheze mbele yake mwenyezi -


Waimbaji wote twakaribishwa -

Tuimbe nyimbo za kumsifu mwenyezi


Tucheze ngoma pia kayamba

Vigelegele na tuvipige -

10 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page