top of page

Tuidhihirishe Imani

Waamini tunaalikwa, kuidhihirisha imani yetu kwa matendo{Ni mwaliko wa Baba Mtakatifu, ni mwaliko wa KanisaKuipa uhai imani tunayoikiri,imani tunayoiadhimisha, imani tunayoiishi x2

  1. Imani tunayoikiri,Ndiyo kusadiki kwa Mungu mmoja mwumba Mbingu na nchiNdiyo kusadiki kwa Bwana mmoja Yesu KristuNdiyo kusadiki kwa Roho Mtakatifu

  2. Imani tunayoikiri,Ndiyo kusadiki kwa kanisa moja takatifu Katoliki la mitumeKuungama ubatizo mmoja, ufufuko wa wafu na uzima wa milele

  3. Imani tunayoadhimisha, ndiyo sakramenti za kanisaZilizo chemichemi za neema tupatazo kwa MunguSisi tunaomwamini Kristu na kumfuata

  4. Imani tunayoiishi, ndiyo kuziweka maishani mwetu amri zote za MunguBila kuyumbishwa na hisia za uhuru wa kiduniaNa kubaki katika mtazamo wa Kimungu kwa mafundisho ya kanisa

4 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page