top of page

Tuiabudu

Tuiabudu siku zote Ekaristi Takatifu x2


Msifuni Bwana enyi mataifa yote, msifuni enyi watu wote. Maana fadhili zake kwetu ni kubwa sana,na uaminifu wake wadumu milele.


Atukuzwe Baba na Mwana, na Roho Mtakatifu, Kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele. Amina

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page