top of page

Tufurahi Mkombozi Kazaliwa

Tufurahi Mkombozi leo kazaliwa Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu Na tufanye shangwe tumshangilie Tumwimbie aleluya Mkombozi wetu


Dunia yote ifanye shangwe mbele za Bwana Mwokozi kazaliwa


Na wachungaji wanafurahi na malaika mbinguni wanaimba


Amezaliwa kwa ajili yetu, tumpokee tuimbe aleluya


Ametutoa katika giza tufurahie Mwokozi kazaliwa


Utukufu kwa Mungu mbinguni na duniani kote kuwe amani

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page