top of page

Toa Sadaka

Toa sadaka umpe Mungu wako, toa sadaka umpe Mungu wako x2

  1. Ndiyo wakati wakutoa sadaka, ufanye hima, umpe Mungu wako.

  2. Kwa ukarimu toa ulicho nacho, kwa moyo safi, umpe Mungu wako.

  3. Ulicholeta kipeleke kwa Bwana, hata kidogo umpe Mungu wako

  4. Ni mema mengi aliyokutendea, hivyo na wewe umpe Mungu wako

  5. Ni Baba yetu tegemeo la wote , shukrani zako, umpe Mungu wako

2 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page