top of page

Teremka Bwana Teremka



Teremka Bwana teremka,Teremka toka mawinguni, teremka Toka mawinguni mpaka duniani) x2 Na tazama wanao wanavyokuimbia x2 Wafurahi kwa ajili ya utukufu wako


1. Shuka toka mbinguni, tazama makanisani Watu wote wanakusifu na kusema


2. Shuka toka mbinguni, tazama na misituni Ndege wote wanakusifu na kusema


3. Shuka toka mbinguni, tazama huko porini Wanyama wote wakusifu na kusema

9 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page