top of page

Tazameni Kalvari

Tazameni kule kalivari; Mwokozi aliteswa kwa dhambi, alizikwa kule kaburini: mwisho akatoka kwa ushindi x2


1.Nitashinda Bwana nitashinda, kama wewe pia ulishinda: nitapita mapitoni mwako, nimeanza Bwana nitashinda x2

2. Njia mbovu zote nimeacha, nitapita njia nye-embamba, walipita Elija na Musa, walianza Bwana washinda x2

3. Kupokea wimbo wa ushindi, ulinunuliwa kwa mawingu, Malaika kule wanaimba wanasifu nyimbo za ushindi x2

1 view0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page