top of page

Tazama tazama

Tazama tazama ni vema na vizuri, ndugu kuishi pamoja kwa umoja.


  1. Mapendo ya Kristu yametuunganisha- Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

  2. Tuwe na furaha tunapokusanyika Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

  3. Na kwa moyo mnyofu tusameheane kweli Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

  4. Natuangalie tusitengane kamwe Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

  5. Tuache ugomvi tujenge mapatano Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

  6. Kati yetu sisi akae yesu Kristu Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

  7. Yeye ni kiungo cha wanadamu wote Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

  8. Tuwe Kundi moja, mchungali ndiye mmoja Ndugu, tuishi pamoja kwa mapendo

0 views0 comments

Comentarios

Obtuvo 0 de 5 estrellas.
Aún no hay calificaciones

Agrega una calificación
bottom of page