top of page

Tazama Bikira

Tazama, Bikira atachukua mimba, na yeye atamzaa mwana, naye jina lake ni Emanueli, yaani ni Mungu pamoja nasi

Malaika akasema, salamu ee Maria, Bwana yu nawe.


Utachukua mimba, utazaa mtoto, Bwana yu nawe


Utampa jina Yesu naye ni Mtakatifu, Bwana yu nawe


Mungu atampa kiti cha babu yake Daudi, Bwana yu nawe


Na utawala wake, hauna mwisho kamwe, Bwana yu nawe


Mimi ni mtumishi wa Bwana Mungu wangu, Bwana yu nawe

3 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page