top of page

Tawi limechipuka

Tawi limechipuka shinani mwa Yesu Kama tulivyopashwa habari na wazee Likatoa ua, wakati wa usiku, lililochanua


Isaya alitaja ua hilo zuri Ni Yesu mponya wetu, Maria alimzaa Usiku mtulivu, uwezo wake Mungu, umefanya hivi


Na ua hili dogo lanuka vizuri Lang'aa kama jua, giza lafukuza Ni Mwana wa Mungu, hata mwana Adamu, Mwokozi wa watu


Siku ya kufa kwetu, Yesu tuongoze Tuiache dunia, twende furahani Mbinguni kwa Mungu, pale tutakusifu, milele daima

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page