top of page

St. Joseph Mass- Migori




BWANA UTUHURUMIE

Ewe Bwana, ewe Bwana, ewe Bwana, Bwana tuhurumie x2

Ewe Kristu utuhurumie (ewe Kristu) Ewe Kristu tuhurumie (ewe Kristu) Ewe Kristu tuyhurunie (Kristu tuhurumie x2

Ewe Bwana, ewe Bwana, ewe Bwana, Bwana tuhurumie x2


UTUKUFU: ST JOSEPH- MIGORI

(TUTT)Utukufu kwa Mungu juu na amani duniani na amani kwa watu wote wenye mapenzi mema watu wenye mapenzi mema, wenye mapenzi watu mapenzi mema x2


  1. Tunakusifu, tunakuheshimu, tunakuabudu, tunakutukuza, tunakushukuru, kwa ajili ya utukufu wako mkuu.

  2. Ee Bwana Mungu Mfalme wa mbinguni, Mungu Baba Mwenyezi ee Bwana Yesu Kristu Mwana wa pekee, ee Bwana Mungu, Mwana Kondoo wa Mungu Mwana wa Baba.

  3. Mwenye kuondoa dhambi za dunia, ewe mwenye kuondoa dhambi za dunia, pokea ombi letu, ewe mwenye kuketi , kuume kwa Baba utuhurumie.

  4. Kwa kuwa ndiwe uliye pekee yako, peke yako mkuu ee Bwana. Yesu Kristu. Pamoja na Roho Mtakatifu katika utukufu wa Mungu Baba amina.

15 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page