top of page

Sipendi

Sipendi (sipendi) kuwaacha waende (bila Kula) (wasije) wakazimia njiani x2

  1. Tutawapa nini watu hawa na hapa ni nyikani, nasi hatuna chakutosha kuwashibisha x2

  2. Hapa tunayo mikate mitano na samaki wawili, hata hivyo havitoshi kuwashibisha x2

  3. Yesu akatwa mikononi ile mikate miatno, na wale samaki kawabariki na kawapa wote x2

  4. Wakala wote wakashiba mpaka wakasaza, wakakusanya mabaki makanda saba x2

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page