top of page

Siniache

Siniache Mungu Baba nimekosa x2

  1. Kwa mawazo kwa vitendo, dhambi zangu naungama

  2. Kwa maneno kwa wajibu, kila siku majaribu

  3. Haya yote nimekosa, mimi kweli mkosefu

  4. Ndugu zangu dada zangu, moyo wangu unatubu

  5. Nimo vita na shetani, kwako Yesu Kristo wangu

0 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page