top of page

Silaha Yangu Msalaba

1. Silaha yangu msalaba (msalaba msalaba) x2

Silaha yangu msalaba katika mateso yote

Naubeba kijasiri nasonga mbele mbele (mbele mbele) naubeba kijasiri nasonga mbele mbele.

2. Silaha yangu msalaba katika furaha yote.

3. Silaha yangu msalaba katika wito wangu

4. Silaha yangu msalaba katika kazi zote.

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page