top of page

Siku za Mwisho

Katika siku zile za mwisho asema Bwana (asema) Nitawamiminia, wote roho wangu roho wangu x2 [s] Watoto wenu, watoto wenu, watoto wenu, waume kwao wake [a] Watoto wenu, waume kwao wake, watoto wenu, waume kwao wake [t] Waume kwa wake [b] Watoto wenu, waume kwao wake waume kwa wake [w] Watautangaza ujumbe wangu


Vijana wenu wataona maono na wazee wenu wataota ndoto


Nitawamiminia roho wangu wazee wa wale wanastahili


Naye yeyote atakayeomba kwa jina la Baba ataokolewa

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page