top of page

Siku sita (sita) kabla ya Pasaka, watoto wa Kiyahudi walimlaki Bwana x2 Wakishika matawi ya mitende mikononi wakiimba wakisema (Hosanna hosanna, hosanna Mwana wa Daudi Hosanna Hosanna Mwana wa Daudi x2

  1. Wakimwimbia mfalme mkuu nyimbo za furaha na shangwe Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana.

  2. Wakitandaza nguo zao kumpa heshima Mwana wa Daudi Hosanna yeye ajaye kwa jina la Bwana

4 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page