top of page

Shukrani zetu Tunazitoa

Tunatoa shukrani zetu kwako, msaada wetu (Aliyeumba mbingu na dunia x2)

  1. Ewe Bwana mavuno haya atakaye yala ajaliwe salama ya roho ya mwili

  2. Ukikula na ukishiba utamshukuru Bwana Mungu muumba wako kwa uhai

  3. Usiseme moyoni mwako, nguvu zangu mimi zimenipa utajiri huo bali Mungu

  4. Tuyakinge na kuhifadhi tuliyoyapata mahitaji ya mwaka mzima twashukuru

1 view0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page