top of page

Shukrani Zetu Baba Pokea

1. Shukrani zetu Baba, muumba mbingu na nchi pokea – shukrani zetu Baba pokea

Ee Baba –Ae pokea shukrani zetu Baba pokea x2

2. Twazitoa kwa moyo, tena kwa penzi kuu asante – shukrani zetu Baba pokea.

3. Kwa mwili na damu ya mwanao Yesu Kristu asante shukrani zetu Baba pokea. x 2

4. Mwenye kualika wote shambani mwake asane shukrani zetu Baba pokea x2

5. Matumaini yetu kwako hata milele shukrani zetu Baba pokea. x 2.

6. Ndiye mlinzi mwema achungaye kondoo asante shukrani zetu Baba pokea. x2

7. Wazazi wetu wote tunawaombea shukrani zetu Baba pokea. x2

8. Njooni tumsujudu yeye aliye tuumba shukrani zetu Baba pokea x2

9. Kwa nyimbo za sifa tujongee uso wake shukrani zetu Baba pokea x2

10. Enyi waadili tukuzeni jina lake shukrani zetu Baba pokea x2

32 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page