top of page

Shukrani Yangu


1. Natazama maisha yangu mimi ya kuajabia kwa baraka ninazozipata toka kwako mungu ninashindwa hata kueleza penzi lako bwana ni neema za ajabu kwangu toka kwako mungu


(Ninakutolea shukrani zangu ewe mungu wangu kwa zawadi ya maisha mema ulionipa Sina kitu cha kukulipa wewe kwa tunu hii bwana ninakutolea mungu wangu shukrani zangu) × 2


2. Siku wiki miezi hata miaka menilinda bwana wala sikukulipa chochote kustahili haya ukanipa pia afya njema na maisha Bora kwani pendo lako ewe bwana halina mpaka


3. Ukalinda hata jamaa yangu na kuwaongoza kutokana na maovu yote yaliotukumba umekua mwamba mwenye nguvu na pia imara nakutegemea we daima bwana muumba wangu

69 views0 comments

댓글

별점 5점 중 0점을 주었습니다.
등록된 평점 없음

평점 추가
bottom of page