top of page

Shetani Ashindwe


1. Shetani ashindwe ashindwe Shetani ashindwe ashindwe kwa jina la yesu (kweli)


Yeye na hila zake Pia sheria zake Hata na nguvu zake tunasema ashindwe (sana) X2


2. Tunamkataa kabisa Tunamkataa kabisa kwa jina la yesu (kweli)


3. Tumekombolewa hakika Tumekombolewa hakika kwa damu ya yesu (kweli)


4. Ashindwe kabisa kabisa Ashindwe kabisa ashindwe kwa jina la yesu (kweli)


5. Ushindi ni wetu ushindi Ushindi ni wetu ushindi kwa jina la yesu (kweli)

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page