top of page

Shangwe za Noeli



Noeli Noeli amezaliwa shangwe za Noeli amezaliwa aleluya tushangilie x2


  1. Usiku wa manane kazaliwa mwokozi Yesu Aleluya aleluya, ndiye mwana wa Maria mkombozi wa ulimwengu aleluya aleluya

  2. Mungu kajifanya mwili a kazaliwa kati yetu aleluya aleluya, Nuru imetun'garia tuimbe na tushangilie aleluya aleluya

  3. Amezaliwa Emmanueli Mungu pamoja nasi aleluya aleluya, shangwe furaha duniani kazaliwa mwokozi wetu Aleluya aleluya

17 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page