top of page

Shangilieni kwa kuwa Mfalme Yuaja

Shangilieni kwa kuwa Mfalme yuaja Anakuja kututoa utumwani Anakuja kwetu, anakuja kutuokoa

Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu Anakuja kwetu Mtawala Bwana Tazama anakuja, mtawala wa wa ulimwengu Anakuja kwetu Mtawala Bwana


Tayarisheni mapito yake, Dondoeni njia zake Tubuni dhambi zenu, pokeeni wokovu wake


Mrudieni Mwenyezi Mungu, Fungueni mioyo yenu Basi anakuja, anakuja na enzi

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page