top of page

Shambani Mwa Bwana

Utavuna ulichopanda x 2 Bass:Utavuna ulicho panda, Ulicho panda utavuna Bwana Yesu ndiye mchungaji mwema utavuna ulichopanda.

1. Shambani mwa Bwana mnakazi nyingi, kazi mbali mbali, Na kila mtu kile, apandacho ndicho atakachovuna.

2. Aliwatuma wanafunzi wake kuhubiri, injili, Na kila mtu kile, apandacho ndicho atakachovuna.

3. Nawe mwenzangu usiye amini, unayetanagatanga,Na kila mtu kile, apandacho ndicho atakacho vuna.

4. Siri ya mbingu imefunguliwa, kwa waamini wote, Na kila mtu kile, apandacho ndicho atakacho vuna.

25 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page