top of page

Sauti ya mtu aliaye nyikani

Sauti ya mtu aliaye nyikani Itengenezeni njia ya Bwana Yanyoosheni mapito (yake) mapito yake yanyoosheni mapito yake


Palipo na bonde na pavukiwe Na palipo na milima pasawazishwe


Na wenye mwili watauona Watauona wokovu wa Mungu wetu


Palipo na giza nuru itawale Palipo na chuki pawe na upendo


Tuungame dhambi zinazotusonga Ajapo Mwokozi sote tuwe safi

15 views0 comments

コメント

5つ星のうち0と評価されています。
まだ評価がありません

評価を追加
bottom of page