top of page

Sasa Wakati Uumeshafika

Sasa wakati umeshafika kujongea meza ya Bwana, sasa wakati umeshafika kutoa zawadi kwa Bwana. (Mema yote aliyo tutendea kwa siku, kwa wiki na kwa miezi hata miaka; kwa nini tusiende kwa Bwana wote kutoa) x2 zawadi) asante .

  1. Yeye alituumba, yeye anatulinda, yeye ndiye mpaji; twende tutoe zawadi. Neema zatoka kwake, raha anayo yeye sisi wapokeaji twende tutoe asante.

  2. Yeye ni Mungu wetu, sisi viumbe vyake, vitu vyote ni vyake, twende tutoe zawadi. Yeye anatulisha, yeye anatunywesha, tunapata uzima, twende tutoe asante.

  3. Mungu anatupenda, anatukinga maradhi, hutuepusha maradhi, twende…; Siku hii ya leo, tumeiona salama, ni mapenzi ya Yake…

2 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page