top of page

Sasa Ndio Wakati

  1. Sasa ndio wakati wa kutoa sadaka, Kila mtu aanze kujifikiria Zilete zilete, zilete kwa Bwana Zilete zilete zilete kwa Bwana

  2. Tolea moyo wako, pia matendo yako, Naye Bwana Mungu wangu, atakubariki

  3. Wiki nzima Bwana Mungu, amekulinda vyema, Sasa nawe ndugu yangu, ujifikirie

  4. Kumbuka jinsi Yesu, alivyojitolea, Pale msalabani, kwa ajili yako

  5. Baraka zake Mungu, za Baba na za Mwana, Na za Roho Mtakatifu ziwe nanyi nyote

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page