top of page

Sala Yangu


Sala yangu na ipae mbele yako (na ipae) kama moshi wa ubani x2

  1. Ee Bwana upokee sadaka yetu, tunayokutolea kama shukrani yetu Ee Bwana pokea

  2. Ee Bwana upokee dhabihu zetu, tunazokutolea kutoka mashambani Ee Bwana pokea

  3. Ee Bwana upokee pia nia zetu, tunazokutolea kwa moyo wetu wote Ee Bwana pokea.

5 views0 comments

Commentaires

Noté 0 étoile sur 5.
Pas encore de note

Ajouter une note
bottom of page