top of page

Sadaka Safi


  1. Hayawi hayawi tuchangamkeni sasa wakati ndio huu wa kutimiza wajibu, tuyatafakari maisha yetu wapendwa, yeye ametujalia bure bila malipo Mungu..

  2. Tunajivunia mema mengi toka kwake, kuhesabu haya yote katu hatuwezi, hatulalamiki bali tunashukuru tu, twafahamu kwamba anatuwazia mema Mungu..

  3. Manabii wa kale walimtolea pia sadaka safi tena za kuteke-tezwa, basi nasi leo tuige mfano wao, tutoe zaka na dhabihu zetu kwake yeye Mungu…

  4. Bwana anasema nijaribuni sasa, ondoeni hofu mkiisha nikabiidhi, vipaji vyenu na matoleo yenu, mimi nitawabariki siku zote Mungu…

6 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page