top of page

Roho ya Bwana Imeujaza Ulimwengu

Roho ya Bwana imeujaza ulimwe-ngu (nayo inayoviunganisha viumbe vyote hujua maana ya kila sauti aleluya) x2


Naye aliye na mambo yote ndani yake ana ujuzi wa kila neno aleluya


Mungu ainuka maadui wake watawanyika, kwani pendo la Mungu limekwisha kumiminwa, katika mioyo yetu


Na Roho Mtakatifu, tuliyepewa sisi aleluya

1 view0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page