top of page

Roho ya Bwana

Roho ya Bwana imeujaza ulimwe-ngu nayo inayoviunganisha viumbe vyote ee hujua maana ya kila sauti aleluya x2


Kama Roho Mtakatifu alivyowajalia Petro akasema kwa sauti kubwa


Watu wa Uyahudi nanyi jueni jueni jambo hili mkalitimize


Roho wake atujaze na mapaji yake tuyafuate mema tufike Mbinguni

0 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page