top of page

Rafiki Yesu

Mimi nakuita yesu rafiki yangu mwema,Mwokozi wangu. Sikia sauti yangu rafiki yangu mwema niokoe. Uniponye magonjwa yote,(Bwana)yanayo nizunguka mimi. Unikinge nayo maovu (yote) niondoe mashaka yote. Yesu chakula changu(Yesu) Yesu uzima wangu x2 1.Kimbilio lawasio na nguvu ni Yesu Mwokozi,tumaini lawalio lemewa ni Yesu Mwokozi. 2. Enyi mliolemewa na shida mwiteni Mwokozi,yeye ndiye anayezifahamu shida zenu zote. 3. Analisha wasio na chakula yesu anaponya,analinda wajane nayatima Yesu ni mlinzi. 4. Yesu ni mshindi wa majaribu mwachieni yote,uwezo na nguvu na utukufu ni wake

milele.

24 views0 comments

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating
bottom of page